Skærmbilleder:
Beskrivelse
Habari App imetengenezwa kwa faida ya wakimbizi wapya wanaowasili katika kambi ya Dzaleka. Pia inaweza kutumiwa na watu mbalimbali ambao wanattembelea kambi ya Dzaleka na wangependa kujifunza au kuongozewa katika huduma za jamii.
Inasaidia mtumiaji ndani ya Kambi kujua taarifa zote muhimu kuhusu; ofisi, vyanzo vya maji, zahanati(Hospitali) , kitengo cha polisi na shule zilizopo. Pia, program hii inawasaidia wakazi wa Dzaleka wale ambao hawaju English na Chichewa kuweza kupata utangurizi mzuri wa maneno muhimu ya lugha hizo. Hii hufanyika kupitia maandishi na sauti. Kwa sasa uwezekano wa hii program umesimamia kuingiya ndani ya simu za Microsoft na kompyuta zilizo na toleo la windows 10.
Habari App hairuhusu yoyote ule kurekebisha bila ruhusa ya masomo ya ujuzi wa kutengeneza maprogramu ya AppFactory Dzaleka.
Tafadhali kama una maoni yoyote ambayo unadhani kama kuna kitu ambacho kimekosa ndani ya hii programu au kitu ambacho unadhani ni muhimu kuongezwa ndani ya program hii, wasiliana nasi kupita Dzaleka AppFactory.
Piga simu Namba: 0991384849 au email [email protected]